KATIKATI Pichani ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile akizungumza wakati anafungua semina ya uhamasishaji wa ushiriki wa wadau katika maandalizi ya Dira ya Taifa ya 2050 .
Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea ilihusisha wadau wa maendeleo kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.