• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

UHARIBIFU hifadhi ya Lihanje wamkera DC,adhamiria kuchukua hatua

Imewekwa kuanzia tarehe: December 25th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Songea  mheshimiwa Kapenjama Ndile pamoja na wataalamu wa misitu (TFS) amefanya ziara katika hifadhi ya milima ya Lihanje ambayo pia ni chanzo cha maji iliyopo kijiji cha Lugagara Kata ya Kilagano Halmashauri ya Wilaya ya Songea  na Kujionea hali ya uharibifu wa hifadhi hiyo iliyofanywa na  wananchi.

Kufuatia ziara hiyo Mkuu wa Wilaya Songea ameahidi Kurudi katika kijiji hicho na Kufanya mkutano wa hadhara na wananchi ili kufikia mwafaka wa hifadhi hiyo.

Awali kabla ya kwenda katika hifadhi hiyo  Mkuu wa Wilaya alifika katika Ofisi ya kijiji cha Lugagara na kutoa maagizo kwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho ambapo amesea 

“ Leo tumefika katika kijiji hiki na kujionea hali ya hifadhi ya milima Lihanje lakini nimesiki kwamba kuna wananchi wanafanya uharibifu kule sasa wapeni taarifa kwamba wasiendelee kufanya shughuli hizo huko wahame na waachane na kilimo cha kwenye Milima  mpaka serikali itakapokuja kufanya maamuzi ya kuwatengea eneo lingine la kilimo”

Pia  Mkuu wa Wilaya ya Songea ameahidi ndani ya wiki hii atatuma wataalamu wa misitu na wataalamu wa ardhi kwenda kutathmini eneo ambalo wananchi watapatiwa kama eneo mbadala wa eneo la hifadhi kwaajili ya kufanya shughuli zao za uzalishaji mali.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.