Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyasa Mohamed Ismail amewatahadharisha wananchi kuacha vitendo vya uharibifu wa mazingira ambavyo vinaathiri ziwa Nyasa na kuhatarisha mji wa Mbambabay kuzamaAmetoa tahadhari hiyo wakati anazungumza kwenye kikao cha Baraza la madiwani cha Halmashauri hiyo kilichofanyika Kilosa Mbambabay
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.