MRADI wa ujenzi wa bandari ta kisasa ya Ndumbi ziwa Nyasa wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambao umegharimu zaidi ya shilingi bilioni 12 umefikia asilimia 78 .Mradi huo weenye mkataba wa miezi 22 unataraji akukamilika Desemba 3 mwaka huu.Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzu Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa Ndugu Odo Mwisho imetembelea mradi huo ambao ni kiungo muhimu cha usafirishaji kupitia ziwa Nyasa.
TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=YzSByLPzOY0
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.