Serikali ya Awamu ya Tano imetoa shilingi bilioni 2.1 kutekeleza mradi wa chuo cha VETA Nyasa mkoani Ruvuma.Mradi huo unaojengwa kijiji cha Ruhekei kata ya Kilosa Mbambabay ujenzi wake umefikia zaidi ya asilimia 75.
TAZAMA habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=azJGWE8WNYQ
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.