MRADI wa ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa katika shule ya Msingi Liweta na mradi wa chumba kimoja cha darasa shule ya sekondari Lupunga Kata ya Mpandangindo Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Odo Mwisho imetembelea na kukagua miradi ya madarasa na kuridhishwa na ubora wa madarasa hayo ambayo yanapunguza uhaba wa vyumba vya madarasa katika shule hizo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.