MRATIBU wa Faru nchini Philibert Ngoti amesema kutokana na l na uwindaji haramu Tanzania ilipoteza faru weusi 9,900 hadi kufikia mwanzoni mwa miaka 1990 hivyo kubakiwa na faru chini ya 100 kati ya faru 10,000 waliokuwepo miaka ya 1970 hadi 1980.
Hata hivyo amesema kutokana na Mpango wa Taifa wa Usimamizi na Uhifadhi wa Faru weusi wa mwaka 2019 hadi 2023 idadi ya faru weusi nchini kufikia Aprili 2023 imeongezeka hadi kufikia 238
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.