Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua upandaji miti kwenye chanzo cha Mto Luegu uliopo kijiji cha Ngwinde Kata ya Litola Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Mto Luegu unachangia asilimia 19 kwenye maji ya Mto Rufiji ambao unamwaga maji yake katika mradi wa kuzalisha umeme wa maji katika bwawa la Nyerere.
Katika chanzo cha Mto Luegu imepandwa miche ya miti ya asili 1500 iliyotolewa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TSF)kati ya miti hiyo miche 1000 ni minyonyo na miche 500 ni aina ya minyenda.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.