Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema amezindua miongozo mitatu ya Usimamizi wa Elimu katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea kwenye hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa sekondari ya Songea Girls.
Miongozo hiyo tayari imezinduliwa kitaifa na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa pia imezinduliwa kimkoa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.