Katibu wa Kamati ya Amani Mkoa wa Ruvuma Askofu Elimu Mwenzegule amesema mafunzo yamewashirikisha viongozi wa dini kutoka wilaya zote mkoani Ruvuma ambapo ameishauri serikali kuhakikisha semina muhimu kama hizo ziwe endelevu ili kuwajengea uwezo viongozi wa dini ambao wanawajibu mkubwa wa kudumisha amani na utulivu hapa nchini.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.