MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amepiga marufuku tabia ya baadhi ya wazazi na walezi kuwaacha watoto wao wanazurura na kuzagaa katika maeneo yenye mikusanyiko ya watu hali ambayo ameonya inaweza kuchangia maambukizi mapya ya virusi vya corona.TAZAMA HABARI KWA KINA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=S3Rg1Ii5G4I&t=5s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.