Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Ruvuma ambaye ndiye Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amefanya ziara ya kushitukiza eneo la Chiwindi kijiji cha Mtupale Kata ya Chiwanda wilaya ya Nyasa ambapo ni mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.Lengo la ziara hiyo ni kuangalia mapambano ya Corona katika eneo hilo la mpakani .Soma habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=KU9kHi6spCw&t=40s
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.