• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

VODACOM wazindua duka la kisasa lililoboreshwa

Imewekwa kuanzia tarehe: March 17th, 2025

Kampuni ya simu ya Vodacom  imezindua duka jipya lililoboreshwa  katika eneo la Bombambili Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.

Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed aliyewakilishwa Afisa Biashara Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Martin Mabaro.

Akizungumza kwenye hafla hiyo mgeni rasmi  amewapongeza kampuni ya Vodacom kwa kusogeza huduma muhimu karibu Zaidi na wananchi ambapo amesisitiza kuwa mawasiliano ni chachu ya maendeleo ya kiuchumi.

Amesema huduma za mawasiliano zinachangia kwa kiasi kikubwa kuondokana na umaskini na kukuza biashara ambapo ametoa rai kwa Kampuni nyingine za mawasiliano kuiga mfano wa Vodacom kwa kuwa Mkoa una fursa nyingi za uwekezaji.

“Ruvuma ni Mkoa wa kilimo na biashara,hivyo uwepo wa duka hili utasaidia katika kuwahudumia wakulima na wanunuzi pindi wanapohitaji huduma ndani ya Mkoa wetu hivyo naamini huduma hii itatupa manufaa makubwa’’,alisisitiza.

Katika hatua nyingine mgeni rasmi amepongeza huduma ya m-mama inayotolewa na Vodacom ambayo amesema imekuwa msaada mkubwa kwa akinamama wajawazito na Watoto wachanga pindi wanapopata dharura hivyi kuokoa Maisha yao.

Awali akizungumza kwenye hafla hiyo Mkurugenzi wa Hatari na Uzingatiaji wa Vodacom Agapinus Tax amesema uzinduzi wa duka hilo ni hatua endelevu ya Vodacom katika kuwaweka wateja wake karibu Zaidi.

Amesema Vodacom wanaendelea ,kufungua maduka ya kisasa katika Wilaya ya Songea kwa kuwa wamebaini kuwa Wilaya hiyo ina fursa lukuki za kibiashara kutokana na muingiliano mkubwa baina ya Tanzaniaia ,raia wa nchi Jirani  na wafanyabiashara mbalimbali.

Amesema kupitia duka hilo wateja watapata huduma bidhaa mbalimbali ikiwemo simu za kisasa na kwamba duka hilo litachangia uwezeshaji kwa wafanyabiashara na wajasirimali wadogo kutokana na huduma ya M-pawa itakayowasaidia kutunza fedha zao.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.