Afisa Elimu Mkoa wa Ruvuma Mwl. Edith Mpinzile akimkabidhi zawadi kiongozi wa timu ya mpira wa pete kwa Walimu wa Sekondari mara baada kuifunga timu ya mpira wa pete ya Walimu wa Msingi na kuibuka na ushindi seti 68.Michezo katika bonanza hilo inafanyika kwenye uwanja wa Chandamali mjini Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.