Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangosongo ameziagiza kampuni zote mkoani Ruvuma zinazojihusisha na uchimbaji wa madini kuzingatia taratibu na sheria zinazohusiana na mazingira ilI kuendelea kuyatunza na kuyahifadhi kwani itasaidia kukabiliana na janga la mabadiliko ya tabia nchi,
Mangosongo ametoa agizo hilo wakati alipo mwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katika zoezi la upandaji miti kwenye mgodi wa Ruvuma Coal Ltd, unaojihusisha na uchimbaji wa makaa ya mawe katika vijiji vya Ruanda na Sara wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma
"Sera na miongozo ya wizara ya madini na nchi inataka migodi yote inayochimba makaa ya mawe au shughuli za uchimbaji baada ya kumaliza kuchimba wanatakiwa kurudishia aridhi irudi kama mwanzo ili uoto upate kurudi tena kama mwanzo ili kizazi kijacho kikute mazingira safi"
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.