WAJUMBE wa Bodi ya BOT wemetembelea Mkoa wa Ruvuma na kuonana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Eliasi Thomas Ofisini kwake.
Kiongozi wa Msafara huo Naibu Gavana utawala na udhibiti wa ndani wa Bodi ya BOT Julian Lafael wamekuja kwaajili ya kutembelea shughuli za uchumi na maendeleo ya Kanda ya Kusini.
Wajumbe hao katika Mkoa wa Ruvuma watatembelea Chanzo cha Mto Ruvuma,Shamba la Kahawa la Aviv,Makaa ya Mawe na maeneo mengine ya uwekezaji.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.