Meneja wa Kampuni ya simu ya Tigo Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Bi.Laverty Khana akabidhi zawadi ya Pikipiki na Baiskeli kwa wakulima wawili ambao wamejishindia zawadi hizo baada ya kuwa watumiaji wazuri wa miamala ya Tigo kupitia shughuli zao za Kilimo.
Zawadi ya Pikipiki imekabidhiwa kwa Bwana Halifa Thabiti Halifa ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Muhuwesi na Bwana Rashid Abdalah Hemed ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Liwanga amekabidhiwa Zawadi ya Baiskeli.
Zawadi hizo zimekabidhiwa kwa washindi na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Dr.Wilfred Rwechengura.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.