Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert amesema wananchi wa Ruvuma hawahitaji kuhamasishwa kulima kwa sababu wamevuka kiwango cha kuhamasishwa hali inayosababisha Mkoa wa Ruvuma umeendelea kuwa kapu la Taifa la chakula kwa miaka kadhaa sasa.
Hata hivyo Brigedia Jenerali Ibuge amesisitiza wakulima wa Ruvuma wanahitaji usimamizi wa kisayansi ili kuleta tija kwa wakulima .
“Usimamizi wa kisayansi utawawezesha wakulima kujua misingi ya kilimo cha kisayansi hivyo mazao gani yanahitajika kupandwa katika eneo gani na watumie aina gani ya mbolea kwa mazao gani.”,alisema RC Ibuge.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.