• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

Wakulima wa Korosho Tunduru Waipongeza Serikali

Imewekwa kuanzia tarehe: November 22nd, 2018


Pichani ni  mkazi wa kijiji cha Mtonya Issa Yasin akitoa salamu za shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli kwa uamuzi wake wa kununua korosho za wakulima kwa bei nzuri ya shilingi 3,300 kwa kilo.

Salamu hizo amezitoka mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme wakati alipofanya ziara ya kukagua mwenendo wa uuzaji wa korosho katika kijiji cha Mtonya wilaya ya Tunduru jana (Jumatano 21,Novemba 2018)

Mkulima Yasin amefanikiwa kuuza  tani 4 na kilo 200 za korosho na kujipatia kiasi cha shilingi milioni 13.8  katika msimu wa 2018/2019 kwa bei ya 3300. 

Akizungumza kwenye mkutano huo wa hadhara Mkuu wa Mkoa Mndeme amewahakikishia wananchi wote wa mkoa wa Ruvuma ambao wanalima zao la korosho kuwa serikali ya awamu ya Tano itanunua korosho zote kwa elekezi na kuwa fedha kwa kazi hiyo zipo.

"Napenda kupokea salamu za pongezi kwa Mheshimiwa Rais Magufuli kama mlivyosema,nitafikisha kwake salamu hizi" alisema Mndeme kwenye mkutano wa wananchi wa kijiji cha Mtonya

Aidha ,amewaonya wafanyabiashara ambao watajihusisha na biashara haramu za Kangomba kuwa vyombo vya dola vipo makini kuhakikisha kuwa wanadhibiti biashara hiyo ili kumwezesha mkulima kupata bei nzuri ya korosho zake.

Kwa mujibu wa takwimu za mkoa wa Ruvuma hadi kufikia tarehe 11 Novemba 2018 jumla ya kilo 2,690,261 sawa na tani 2,690 za korosho zilikuwa zimepokelewa kwenye maghala makuu katika wilaya ya Tunduru.

Mwisho

Zao la korosho katika mkoa wa Ruvuma linalimwa kwenye wilaya za Tunduru,Nyasa,Songea na Namtumbo

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBINGA-MBAMBABAY : barabara inayojenga utalii kwenye milima ya Kusini

    June 01, 2025
  • PICHA ya Rais Samia yapamba mti wa kihistoria Namtumbo

    June 01, 2025
  • TAIFA lamlilia Songambele Shujaa wa Uhuru aliyeishi karne moja

    June 01, 2025
  • SHAMBA la AVIV Tanzania ni mfano wa kuigwa nchini

    June 01, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.