Mnada wa pili wa zao la ufuta umefanyika katika kijiji cha Matimila katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, ambapo kilo moja ya ufuta imenunuliwa kwa bei ya Shilingi 3858
Akizungumza kwa niaba ya Wafanya biashara na mwakilishi wa kampuni ya Akinasoru East Africa Ltd Ndugu Shaibu Ndimbo, amesema sasa ni wakati wa wakulima kuchangamkia soko la ufuta kwani mahitaji ya zao hilo ni makubwa
“Kwa ufupi sisi bado tunahitaji ufuta wakutosha pia tutaendelea kuhutaji kwa kiwango kikubwa zaidi niwaombe wakulima mzidi kuzalisha kwa wingi ufuta soya na mazao mengine ya kimkakati pia tunaishukuru Serikali kwa kuuendeleza huu mfumo wa stakabadhi ghalani kwani umekuwa ukimpa bei nzuri mkulima na kufanya aone thamani ya kile anachokilima”
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.