WANAFUNZI 332 WAFANYA UTALII WA NDANI RUHILA ZOO
Wanafunzi 332 wa shule ya Msingi SIMAGO kata ya Ruhuwiko Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamefanya utalii wa ndani katika Bustani ya Ruhila mjini Songea.
Afisa Utalii wa bustani hiyo David Tesha aliwapokea wanafunzi hao na kuwaonesha vivutio mbalimbali vilivyopo kwenye bustani hiyo wakiwemo Wanyamapori wakiongozwa na simba.
Wanafunzi hao waliweza kupiga picha na kucheza michezo mbalimbali ya watoto iliyopo ndani ya bustani hiyo.
Katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Agosti 2023 bustani ya Ruhila imepokea watalii 5,461
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.