Pichani ni Mhifadhi wa Makumbusho ya Taifa ya Majimaji ndugu Danford Majogo akiwaonyesha na kuwaelezea wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM ) Kitivo cha Utalii na Utamaduni, vifaa vya jadi ambayo vilivyotumika kabla na baada ya ukoloni ambavyo vimehifadhiwa katika Makumbusho hayo yaliyopo Mjini songea Mkoani Ruvuma.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.