• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WANAFUNZI Mbinga Gilrs wamshukuru Rais Dkt.Samia

Imewekwa kuanzia tarehe: February 24th, 2023

WANAFUNZI wa shule ya sekondari ya wasichana Mbinga wamesema,kujengwa kwa vyumba vipya vya madarasa vimewaongezea ari ya kujisomea na kuhaidi watavitumia kusoma kwa bidii ili waweze kufanya vizuri katika masomo yao.

Wameishukuru serikali kuwajengea vyumba vipya vya madarasa ambavyo vimesaidia kupunguza msongamano na kuongeza utulivu madarasani wakati wa kujisomea.

Wamesema hayo  wakati wakizungumza na HABARILEO, juu ya ujenzi wa  miumbombinu ya elimu iliyotekelezwa na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan  katika kipindi cha miaka miwili cha uongozi wake.

“tunamshukuru sana mama yetu Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutujengea vyumba vipya vya madarasa na mabweni katika shule yetu,kwa sasa tunasoma kwa amani na utulivu mkubwa,hapo awali wenzetu waliotangulia katika shule hii walikutana na changamoto kubwa ya msongamano darasani ambao sasa haupo tena”alisema mwanafunzi wa kidato cha nne Uwezo Komba.

Komba alieleza kuwa,ujenzi wa madarasa mapya sambamba na viti na meza umehamasisha hata wanafunzi wanaopelekwa katika shule hiyo kufurahi mazingira mazuri na kupenda shule tofauti  na hapo awali ambapo wazazi walilazimika kwenda na vifaa ambavyo sasa mwanafunzi anavikuta shuleni.

Debora Mapunda amesema,tangu walipofika katika  shule hiyo wamefurahia mazingira ya shule kutokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na serikali ya awamu ya sita na kuhaidi kuitunza ili iweze kudumu kwa muda mrefu.

Nuru Ibrahim mwanafunzi wa kidato cha nne amesema,kabla ya ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa kero kubwa ilikuwa ni msongamano wa wanafunzi kwani darasa moja lilikuwa na wanafunzi kati ya 40 na 45,hivyo kukosa na utulivu na kushindwa kusikiliza yanayofundishwa na walimu.

Aidha,ameishauri serikali kuendelea kuwekeza kwenye  ujenzi wa mabweni na kujenga wigo(uzio) kuzunguka eneo lote la shule  na viwanja vya michezo ili waweze kushiriki michezo mbalimbali hasa ikizingatiwa kuwa kwa sasa michezo ni ajira.

Kwa upande wake Mkuu wa shule hiyo Theresia Mlwilo, ameishukuru serikali kwa kutoa jumla ya shilingi milioni 40  kwa ajili ya kujenga vyumba viwili vya madarasa ambavyo vimesaidia sana wanafunzi kuwa na sehemu nzuri ya kujifunzia na walimu kufundishia.

Amesema,madarasa mapya yamaechochea wanafunzi  wa shule hiyo kupenda kusoma,hata hivyo ameiomba serikali kuongeza nguvu katika ujenzi wa mabweni kwani yaliyopo hayakidhi mahitaji kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi.

Naye Mwalimu wa taaluma Richard Mhuwa amesema,katika shule hiyo walipangiwa kupokea wanafunzi 100 wa kidato cha kwanza na wote wameripoti kwa ajili ya kuendelea na masomo ya sekondari.

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.