Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Dkt Charles Msonde akishangilia pamoja na wanafunzi wa kidato cha Tano katika sekondari ya wasichana ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo Wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma .
Wanafunzi wameahidi kidato cha sita wote kupata division one.
Dkt Msonde yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.