Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Kiburang'oma Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma wakiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa madawati 40 kati ya 220 yaliyotolewa na Benki ya NMB katika shule za msingi wilayani Songea .
Mgeni rasmi kwenye hafla ya makabidhiano ya madawati hayo alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ambaye pamoja na mambo mengine ameishukuru NMB kwa msaada huo ambao unakwenda kupunguza changamto ya madawati katika shule za msingi Manispaa ya Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.