MKUU wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema amesema hadi kufikia Desemba 10,2022 Wilaya ya Songea ilikuwa imekamilisha ujenzi wa madarasa 96 na samani zake vilivyogharimu shilingi bilioni 1.9.
Akizungumza kwenye mkutano wa Baraza la Madiwani Katika Halmashauri ya Madaba Mheshimiwa Mgema amesema kilichobaki hivi sasa ni kuwasaka wanafunzi wote ambao hawajaripoti ili waweze kwenda shuleni kabla ya mwisho wa mwezi huu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.