Serikali kupitia Wizara ya Maji inatarajia kuchimba visima vinne katika kata ya Luhangarasi Wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.Hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya wakati anakagua mradi wa uchimbaji kisima cha Maji katika kijiji cha Kimbango
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.