Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Songea mjini Dkt.Damas Ndumbaro ametoa rai kwa wananchi wa Jimbo la Madaba waliojiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27 mwaka huu,kuhakikisha wanawachagua wagombea wa CCM ili kuendelea kupata maendeleo endelevu.
Dkt.Ndumbaro ametoa rai hiyo wakati anazungumza kwenye uzinduzi rasmi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa kwenye viwanja vya Kata ya Mtyangimbole
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.