Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewapongeza na kuwashukuru Wananchi wa kijiji cha Kipapa Halmshauri ya Wilaya ya Mbinga kwa kutoa maeneo kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya msingi mpya ya kilango ambayo itakuwa na vyumba vya madarasa tisa na matundu ya vyoo 18 pamoja na jengo la utawala moja.
Ujenzi wa shule hiyo unatekelezwa kupitia fedha ya miradi ya uboreshaji miundombinu ya shule za msingi na shule za awali (BOOST) ambapo kiasi cha shilingi milioni 331 zitatumika kutekeleza mradi huo.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.