ZIARA ya kukagua mradi wa maji Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma iliyofanywa na Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma imezaa matunda baada ya TANESCO kuingiza umeme kwenye mashine ya kuvuta maji hali iliyosababisha sasa maji kuvutwa na kuingia kwenye tanki na hatimaye maji kuanza kusambazwa kwa wananchi,soma habari zaidi hapa https://www.youtube.com/watch?v=vRqCE2B-z9o
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.