Baadhi ya wananchi wa Mji wa Mbambabay wakifuatili hafla ya utiaji saini mkataba wa mradi wa usanifu na ujenzi wa uendelezaji Bandari ya Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambapo mradi huo unaotekelezwa kwa miezi 24 unatarajia kugharimu jumla ya shilingi bilioni 80.
Mgeni rasmi kwenye hafla hiyo iliyofanyika mjini Mbambabay Desemba nne ,2023 alikuwa ni Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.