• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WANAWAKE Ruvuma msibakie nyuma kwenye nafasi za uongozi

Imewekwa kuanzia tarehe: June 22nd, 2025

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Komred Oddo Mwisho, amewataka  wanawake na vijana, kujitokeza kwa wingi kushiriki katika siasa na nafasi za uongozi ili kuchangia maendeleo ya taifa. 

Mwisho alitoa wito huo akiwa mgeni rasmi katika matembezi ya hisani ya Wanalizombe Marathon yaliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Fro Events.

Matembezi hayo yaliyobeba ujumbe wa “Umoja, Amani, Ushiriki wa Vijana na Wanawake katika Uongozi wa Kijamii kwa Demokrasia,” yalihudhuriwa pia na viongozi mbalimbali wa serikali na chama, 

Mwisho aliwapongeza waandaaji na washiriki kwa kujitokeza kwa wingi, akisisitiza kuwa tukio hilo limekuwa jukwaa muhimu la kuhamasisha uchaguzi wa amani na ushiriki wa wananchi katika uongozi.

Alibainisha zaidi kuwa wanawake wa Mkoa wa Ruvuma wanapaswa kutumia haki yao ya kikatiba kugombea nafasi za uongozi kwa kuwa wao ni msingi wa jamii na maendeleo ya taifa. 

Aidha, alitumia fursa hiyo kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake thabiti unaoendelea kuboresha maisha ya wananchi kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo.


Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RUVUMA yang'aa kwenye ramani ya maendeleo;uwekezaji wa Trilioni 1.8 wageuza maisha ya wananchi

    June 23, 2025
  • KISIMA cha maji chawakomboa wananchi Luhangarasi Nyasa

    June 23, 2025
  • KITUO cha polisi cha kisasa chafunguliwa Namtumbo kwa gharama ya milioni 798

    June 22, 2025
  • JENISTA MHAGAMA akabidhi mashine na ng'ombe Peramiho

    June 22, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.