WATALII kutoka nchini Ujerumani ziara yao ya kutembelea vivutio vya utalii imewafikisha katika mji wa Peramiho nje kidogo ya Mji wa Songea.Peramiho ni mji uliosheheni historia ya Tanzania pia mji huu una kanisa kongwe ambalo lina historia ya kanisa katoliki na mwaka huu inafanyika Jubilei ya miaka 125 ya ukristo Jimbo Kuu la Songea
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.