Halmashauri Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imetoa mafunzo ya mfumo ya wa uhasibu ujulikanao kwa jina la FFARS Kwa Watendaji wa Kata na vijiji wa Tarafa ya Ruhekei.
Akitoa mafunzo hayo Afisa Hesabu wa Halmashauri hiyo George Mvanga amelitaja lengo la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo katika matumizi ya mfumo huo, wa uhasibu utakaoanza kutumika katika ngazi ya kata na vijiji Kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
"Mfumo wa uhasibu na utoaji taarifa za fedha Kwa ngazi ya vituo,vya kutokea huduma (FFARS) una lengo la utunzaji wa vyanzo vya fedha,kutoa, kufanya maanuzi na kutoa Taarifa ya fedha zote zinazoingia na namna gan zinavyotumika'',alisisitiza Mvanda,
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.