Baadhi ya watoto wakisoma vipeperushi vyenye ujumbe wa kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambayo kimkoa yamefanyika katika kijiji cha Nangunguru Kata ya Nandembo Wilaya ya Tunduru ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma aliyewakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mheshimiwa Julius Mtatiro
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.