MADAKTARI Bingwa wa kambi ya matibabu ya kibingwa ya afya ya akili wanatoa huduma za matatibu kwa siku tano kuanzia Desemba 16 hadi 20 mwaka huu hapa madaktari hao wanatoa elimu ya afya ya akili kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwenye ukumbi wa sekondari ya Songea Girls mjini Songea.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.