WATUMISHI wanaotarajia kustaafu katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma wamepewa semina ya kujua mafao yao mara baada ya kustaafu.
Semina hiyo imetolewa na Afisa Mwandamizi kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Kitengo cha Huduma Mkoa wa Ruvuma (PSSSF) Jimy Tanasho ambaye amesema ni muhimu kila mtaafu ajue kile alichochangia na anachostahili kupata pindi anapostaafu.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.