Mkoa wa Ruvuma umebarikiwa kuwa na fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta mbalimbali hali ambayo inachochea maendeleo ikiwemo kutoa ajira kwa vijana.Huu ni ukumbi wa hoteli ya one Pasific uliojengwa mjini Mbinga ambayo ni miongoni mwa kumbi zinazovutia wadau wengi kutumia miundombinu bora ya kuvutia iliyopo .Mkoa wa Ruvuma unatarajia kuona wawekezaji wengi wa ndani na nje kujitokeza kuwekeza katika sekta mbalimbali ndani ya Mkoa wa Ruvuma
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.