Mwenye kofia ni Mheshimiwa Julius Mtatiro Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwenye maadhimisho ya kilele cha siku ya UKIMWI Duniani ambayo kimkoa yamefanyika kijiji cha Nangunguru Kata ya Nandembo wilayani Tunduru akikabidhi zawadi mbalimbali kwa wazee wa Tunduru walioshiriki kwenye hafla hiyo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.