Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe akimpongeza Isa Mohamed Hakimu ambaye ni Afisa Kilimo wa Kata ya Lilahi Muhukuru Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma kwa kuwatembelea wakulima muda wote na kuwapatia huduma za kiughani.
Waziri Bashe alisema huyo ni Afisa Kilimo wa kwanza Tanzania wakulima wenyewe kukiri mbele yake kuwa yupo na wakulima muda wote.Amesema maeneo yote aliofanya ziara wakulima wamekuwa wanalalamika maafisa kilimo hawafiki kutoa huduma kwa wakulima.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.