Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Bunge na Uratibu) Mheshimiwa Jenista Mhagama amezindua mradi wa kuongeza ustahimilivu na lishe kwa wafugaji wadogo wa samaki unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu ambao unatekelezwa katika kijiji cha Mpitimbi Halmashauri ya Wiaya ya Songea mkoani Ruvuma.Mradi huu umelenga kupunguza umaskini na kuboresha lishe kupitia shughuli za ufugaji wa samaki wenye tija na ustahimilivu kutoka kwa wazalishaji na wafugaji wadogo ikiwemo kuwajengea uwezo kimaisha wafugaji wadogo wa samaki waliopo vijijini
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akimwaga vifaranga vya samaki kwenye bwawa la Mpitimbi wilayani Songea baada ya Waziri Mhagama kuzindua mradi huo
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.