Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Januari 7 mwaka huu ameendelea na ziara yake mkoani Ruvuma kwa kutembelea na kukagua mgodi wa Makaa ya mawe wa Kampuni ya JITEGEMEE katika kijiji cha Ntunduwaro Kata ya Ruanda Wilaya ya Mbinga.
Kampuni hiyo imeweza kuchangia Pato la Taifa kiasi cha shilingi bilioni saba kwenye kodi na tozo mbalimbali za Serikali.ambapo hadi kufikia Desemba 2022 Kampuni hiyo ilifanikiwa kuvuna makaa ya mawe zaidi ya tani laki sita na kufanikiwa kuuza Makaa ya mawe zaidi ya tani laki tano
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.