Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amezindua meli mpya ya abiria ya MV Mbeya II katika hafla iliyofanyika katika bandari ya Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanania(TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko amesema ujenzi wa meli hiyo umegharimu zaidi ya shilingi bilioni tisa na ina uwezo wa kubeba abiria 300 na mizigo tani 200
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.