Zuio la mikusanyiko ya watoto (Madrasa na Sunday Schools)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuna taarifa kuwa baada ya masomo kusitishwa kwa sababu ya #COVID19 watoto wamekuwa wakienda Kanisani na Msikitini kwa ajili ya kujifunza
Waziri Majaliwa amesisitiza kuwa alipokutana na Maaskofu na Mashekh walikubaliana kusitisha Huduma nyingine zote isipokuwa ibada tu
Majaliwa amesema ni marufuku kwa watoto kukusanywa kwa kisingizio cha Sunday School au Kadrasa na kwamba Makanisa na Misikiti itumike kwa shughuli za ibada za kuliombea Taifa tena kwa muda mfupi na baada ya Ibada waumini watawanyike mara moja.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.