Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu Profesa Joyce Ndalichako akizindua kitabu cha muongozo kwa ajili ya wastaafu na Watumishi ili kuwarahisishia kupata elimu ya huduma za hifadhi ya jamii kwa wanachama PSSF.
kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Kapenjama Ndile na kulia ni Mkurugenzi wa uwendeshaji PSSF makao makuu Ndugu M'baruk Magawa ambapo uzinduzi umefanyika katika viunga vya ofisi ya hazina ndogo Manispaa ya Songea Mkoa Ruvuma na kuudhuriwa na Wastaafu na watumishi mbalimbali.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.