• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WAZIRI wa Kilimo afunga maadhimisho ya mbolea duniani Ruvuma

Imewekwa kuanzia tarehe: October 15th, 2021

MAADHIMISHO ya siku Mbolea Duniani  yamefanyika kwa siku tatu katika uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma.

Maadhimisho hayo yalizinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma  Brigedia Jenerali Wilberth IbugeOktoba 11  na  kufungwa na Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali  Wiberth Ibuge akitoa salamu katika Maadhimisho hayo amesema juhudi za kisera kwenye kilimo zimesababisha Mkoa wa Ruvuma kuongoza kwa kuzalisha mazao ya chakula kwa miaka mitatu mfululizo.

RC Ibuge amelitaja suala la upatikanaji wa Mbolea  katika kilimo umeongezea tija na ufanisi wa uzalishaji wa Mazao hayo.

Hata hivyo amesema  kwa mwaka huu bei ya mbolea imepanda kutokana na kutegemea viwanda vya nje ya nchi hali ambayo inaleta changamoto kwa wakulima.

“Kilio chetu wanaruvuma na Watanzania wote tunatambua siyo serikali imesababisha bei ipande bali uzalishaji wa Mbolea tunategemea viwanda vya nje na Corona ilipo tupiga wazalishaji walifunga viwanda na walipofungua kila mtu Duniani anataka Mbolea bila shaka lazima bei ipande’’,alisema RC Ibuge.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti Mbolea Tanzania TFRA  Profesa Antony Mshandete amesema idadi ya watu inatarajiwa kufikia bilioni 9.7 kufikia mwaka 2050 ambayo  itasaidia kuongezeka uchumi  wa viwanda na uhitaji wa kuzalisha mazao mengi kutoka katika eneo dogo.

Profesa Mshandete ameitaja kauli mbiu ya maadhimisho ya siku ya mbolea kwa mwaka 2021 kuwa ni Tumia Mbolea Bora kwa Tija na Kilimo Endelevu,ambapo amesema jukumu kuu ya TFRA  kupitia kaulimbiu hiyo ni kusimamia ubora wa Mbolea.

Hata hivyo amesema katika kutekeleza kauli mbiu hiyo TFRA imekuwa na mafanikio mengi  na kuendelea kuimarisha mifumo ya udhibiti wa Mbolea ili kuhakikisha wakulima wanapata Mbolea Bora kwa wakati wote.

“Mwaka 2016 hadi Septemba 2021 jumla ya mbolea zilizosajiliwa zilikuwa 356,Matumizi ya Mbolea yameongezeka uzalishaji mwaka 2015/2016 matumizi ya mbolea yalikuwa tani 296,036 na mwaka 2020/2021 matumizi ya mbolea yalikuwa 475,870”,alisema .

Hata hivyo  Profesa Mshandete ameyataja mafanikio ya TFRA kuwa ni kuendelea kuimarisha mifumo ya udhibiti wa Mbolea  ili kuhakikisha wakulima wanapata Mbolea bora,kuimarisha mfumo wa  utoaji  wa huduma za Mbolea ambapo hivi sasa huduma hutolewa kwa njia ya Mtandao.

Amezitaja changamoto za TFRA kuwa ni gharama za upatikanaji wa malighafi za kutengenezea Urea,Matumizi madogo ya Mbolea, Huduma isiyotoshelevu ya ugani,bei kubwa za Mbolea  hasa katika soko la Kimataifa na Mabadiliko ya tabia ya Nchi ambayo yanayumbisha kwa Masoko.

Habari imeandikwa na Mwandishi wetu

Ruvuma

Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MWENGE wa Uhuru waikubali miradi yote Madaba

    May 09, 2025
  • RC Ruvuma ALIVYOSHIRIKI Makabidhiano mradi wa ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Songea

    May 08, 2025
  • SERIKALI yatenga bilioni 18.5 kujenga chuo kikuu Ruvuma

    May 08, 2025
  • MWENGE wa Uhuru kukagua,kuzindua miradi 76 Ruvuma

    May 08, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.