WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dkt.Damas Ndumbaro anatarajiwa kuwaongoza wakazi wa Mji wa Songea katika Tamasha la Majimaji Selebuka kwa kulala kwenye milima ya Matogoro iliyopo Manispaa ya Songea ambayo ni chanzo cha Mto Ruvuma wenye urefu wa zaidi ya kilometa 800 na ambao unaomwaga maji yake Bahari ya Hindi.Mratibu wa Utalii Kanda ya kusini Debora Mwakanosya ambaye pia ni Mhifadhi kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS ambao ndiyo wamiliki wa Msitu wa Matogoro anaeleza zaidi kuhusu kivutio hicho.TAZAMA HAPA https://www.youtube.com/watch?v=UcjW_4HboLA
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.