Pichani Waziri wa Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akisaini kwenye kitabu cha wageni katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mara baada ya kuwasili mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili ambayo imeanza leo 23 Agosti 23 hadi Agusti 24, 2023.
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.