• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Majibu ya haraka |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • RSFMIS |
Ruvuma Region

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Ruvuma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Uongozi wa Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu
      • Miundombinu
      • Maji
      • Afya
      • Menejimenti ya Serikali za Mitaa
    • Vitengo
      • Uhasibu na Fedha
      • Sheria
      • Tehama
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
  • Wilaya
    • Wilaya ya Songea
    • Wilaya ya Mbinga
    • Wilaya ya Nyasa
    • Wilaya ya Tunduru
    • Wilaya ya Nantumbo
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Madaba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga Mji
    • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
    • Halmashauri ya Wilaya ya Songea
    • Halmashauri ya Manispaa ya Songea
    • Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru
  • Fursa za Uwekezaji
    • Mifugo
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Madini
    • Nyaraka za uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
  • Machapisho
    • Miongozo na Nyaraka za uwekezaji
    • Taratibu
    • Taarifa
    • jarida
    • fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • habari
    • Matukio

WENGI wajitokeza kujiandikisha daftari la wapiga kura Mbinga

Imewekwa kuanzia tarehe: October 15th, 2024

MBUNGE wa Jimbo la Mbinga mjini mkoani Ruvuma Jonas Mbunda,amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la orodha la wapiga kura ili wapate haki ya kushiriki na kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika hivi karibuni nchini kote.


Mbunda,amesema hayo baada ya kujiandikisha katika Daftari la wapiga kura katika kituo cha Ruhuwiko B kata ya Ruhuwiko Mbinga mjini.
Amesema,zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Wapiga kura lina umuhimu mkubwa kwa Watanzania kwa kuwa linatoa nafasi kwa kila Mtu mwenye sifa kuchagua kiongozi anayemtaka katika mtaa,kitongoji na kijiji.
Amesema,viongozi hao ni muhimu kwa kuwa wanatakiwa kwenda kufanya kazi kwa kushirikiana na wananchi ili kuwaleta maendeleo na kusimamia miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo yao.

Ameeleza kuwa,uchaguzi wa Serikali za mitaa ni daraja ambalo litawasaidia Watanzania kushiriki vyema katika uchaguzi Mkuu wa Madiwani,Wabunge na Rais utakaofa

nyika mwezi Oktoba mwaka 2025.

“Wito wangu kwa wananchi wa Jimbo la Mbinga mjini kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kujiandikisha ili waweze kupata nafasi ya kikatiba ya kuchagua viongozi tunaowataka katika maeneo yetu”alisema Mbunda.


Amewaomba wananchi wa Jimbo la Mbinga Mjini kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili kuchagua viongozi wanaofaa ambao watawaletea maendeleo na kuepuka kuchagua viongozi kwa misingi ya ukabila na udini.
Kwa upande wake Afisa Mwandikishaji wa kituo cha Ruhuwiko B Witness Makoy alisema,zoezi hilo linaendelea vizuri huku idadi kubwa ya wananchi wakiendelea kujitokeza kujiandikisha.

Ameongeza kuwa,hali hiyo imetokana na hamasa kubwa iliyofanyika kupita mtaa kwa mtaa ili kuwakumbusha na kuwahimiza wananchi kwenda kupata haki yao kabla siku ya uchaguzi wa Serikali za mitaa Tarehe 27 Mwezi Novemba.




Matangazo

  • JARIDA la RS Ruvuma toleo la Aprili 2025 April 30, 2025
  • VIGEZO vya kupata leseni ya biashara September 30, 2025
  • FURSA za uwekezaji mkoani Ruvuma June 30, 2025
  • ORODHA ya nyumba za kulala wageni mkoani Ruvuma December 31, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBUNGE Kawawa aleta neema Namtumbo

    May 11, 2025
  • KIONGOZI Mwenge wa uhuru ashiriki upandaji miti Songea

    May 11, 2025
  • MWENGE wa uhuru waweka jiwe la msingi shule ya amali Songea

    May 11, 2025
  • MWENGE wa uhuru wazindua jengo la EMD Peramiho

    May 10, 2025
  • Tazama zote

Video

HAKIKISHA unafika kanisa la Peramiho-Rais Samia
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Songea Municipal Council
  • Mbinga District Council
  • Tunduru District Council
  • Madaba District Council
  • Nyasa District Council
  • Namtumbo Dictrict Council
  • Mbinga Town Council
  • Songea District Council

Tovuti Muhimu

  • Utumishi Portal
  • Government Portal
  • Tamisemi
  • Tanzania Revenue Authority

Waliotembelea Kijiografia

world map hits counter

Waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Regional Commissioner Office

    Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.

    Simu: 0252602256

    Simu ya Mkononi: KERO PIGA 0800110174

    Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Majibu ya haraka
    • Ramani ya Mahala
    • Huduma

Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.