wananchi wengi wa mji wa Tunduru mkoani Ruvuma wamejitokeza kwenye kongamano la kumbukizi ya Vita ya Majimaji ambalo linafanyika kwenye ukumbi wa cruster mjini Tunduru. Watoa mada kwenye kongamano hilo ni wataalamu kutoka Wizara ya Maliasili na utalii na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Regional Commissioner Office
Anuwani: 1 TUNDURU ROAD, 57180 S.L.P 74,SONGEA, RUVUMA.
Simu: 0252602256
Simu ya Mkononi: 0252602256
Barua Pepe: ras.ruvuma@tamisemi.go.tz
Copyright ©2017 Ruvuma . All rights reserved.